Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Na ww unagombea Jimbo gn mkuu
Mnapitisha Fisadi Ligombee,? Wananchi wanalilia Fisadi Papa.
Kwahiyo kumbe mtu akiwa chadema CCM kwenu anakuwa mtakatifu?Chadema walimpaka matope,baadae wakamsafisha
Mlipoliazima lilete mabadriko hewa hamkujua hayo?Mnapitisha Fisadi Ligombee,? Wananchi wanalilia Fisadi Papa.
Mlipoliazima lilete mabadriko hewa hamkujua hayo?
Na walisema ni mgonjwa anajihaliahia jukwaani,amesha pona?kama bado atagombea mke wake,vipi lile galasha KALANGA?
Mwenyekiti wako alikuwa anamtandikia mashuka alale huyo unayemwita fisadiMnapitisha Fisadi Ligombee,? Wananchi wanalilia Fisadi Papa.
Mstaafu?Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele
Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Sasa mbona mmemchafua tena kwa sasa ni zamu yenu kusafisha shauri yenuChadema walimpaka matope,baadae wakamsafisha
Mwenyekiti wako alikuwa anamtandikia mashuka alale huyo unayemwita fisadi
Mstaafu?
Sasa mbona mmemchafua tena kwa sasa ni zamu yenu kusafisha shauri yenu
We muangalie je unamuonajeChadema walipomsafisha hakusafishika?