Uchaguzi 2020 Lowassa aombwa kugombea Ubunge

Wananchi gani wanamuomba huyo mgonjwa tena mzee? Mpaka bunge linaisha Mkono alikuwa kitandani, leo Lowassa hata kutembea tu ni mtihani, ndio wananchi wamuombe?
Umenikumbusha mbali sana
 
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Kutoka Urais hadi Ubunge
 
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Duuu!!! Huyu mmasai bado hajabadili mbinu anatumia zile zile zilizomfelisha???
 
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Bia yetu
 
Hadhi yake sio Ubunge ni Urais
 
Anasubiri unabii wa TB Joshua utimie maana aliambiwa mungu kamchagua awe rais wa awamu ya 5 JMT 😀
 
Wananchi wa monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana monduli inaonekana bila Lowasa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali ? Tusubiri atasemaje
Mzee anatuma mwanawe Fred
 
Wananchi wa Monduli wanamuomba Waziri Mkuu mstaafu agombee ubunge ili arudie uwakilishi wake

Wana Monduli inaonekana bila Lowassa hawawezi kusonga mbele

Mzee atakubali? Tusubiri atasemaje
Akikubali atakua mtu wa ajabu sana
 
CCM mna roo mbaya.... mafuriko ya mzee wetu mkayawekea fitna...yaani mkaiwekea miba safari yake ya IKULU asa ivi mnataka kumpa Ubunge...hebu acheni utani Mungu anawaonaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…