Pasco and Bongolander i dont think your brains does function properly, hivi Lowasa hiyo comeback yake itakuwa ya aina gani, kuna haja ya kuwavisha Watanzania cop faces au jamaa aje na sura nyingine na nywele zake zibadilike rangi na kuwa nyeusi and then Tanzanians will forget this cop, to my understanding Lowassa is done unless he better go forward and ask Tanzanians an apology for his blunders and miseries, hata siku hiyo atayoomba msamaha wengi tutajiuliza kama hiyo apology is a blasphemy or what, lakini am sure 100% kama alivosema MJ the guy is an history now.
MJ big up man, watu wengi watanzania pamoja na kusoma sheria lakini bado inawashinda tafsri, kwa sababu kwa alichofanya Lowassa it is a suicide if not death penalty kwa nchi nyingine. Ametufilisi sana huyu jamaa na watu wake.