jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Apr 21, 2016 #161 Murete said: Inawezekana walimbania leseni. Ila hawakufanya poa kubania kama kweli coz hii tiivii ingeleta ajira kwa watz wengi. Pia kwa jiji kama la Arusha na hadhi yake linahitaji tv station kwa kweli. TCRA wafikirie upya kuwapa leseni hawa jamaa. Click to expand... Alitaka kutumia mitambo ya TBC
Murete said: Inawezekana walimbania leseni. Ila hawakufanya poa kubania kama kweli coz hii tiivii ingeleta ajira kwa watz wengi. Pia kwa jiji kama la Arusha na hadhi yake linahitaji tv station kwa kweli. TCRA wafikirie upya kuwapa leseni hawa jamaa. Click to expand... Alitaka kutumia mitambo ya TBC
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Jun 25, 2017 #162 Bado haijaanzishwa tu....
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Jun 25, 2017 #163 bado tuu
NIYOMBARE JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,718 Reaction score 4,228 Jun 25, 2017 #164 Iko wapi iyo ABC
M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 820 Jul 16, 2018 #165 NIYOMBARE said: Iko wapi iyo ABC Click to expand... Iko hewani now