Jamani kwa JK na vijimambo vyake, hakuna CHA AJABU, nani alijua Chenge atarudishwa katika baraza? Nani alitegemea baadhi ya mawaziri kupewa nafasi nyeti wakati kuna ushahidi wa kutostahili kupewa nafasi hizo kwa sababu moja au nyingine? Pamoja na kuwa sina sababu yoyote ya kuiamini taarifa za Lowassa kurudi katika baraza la mawaziri, sitoshangaa kabisa kusikia kwamba hata source ya habari yenyewe ikawa ni Lowassa na JK wake ama watu walio karibu kupima upepo na ili iwe ufunguo wa EL kurudi kwenye ulingo wa SI HASA. Katika siasa za Bongo Lolote linaweza kutokea kama nilivyosikia kuwa "Huenda tukawa na Hilary Clinton" wetu Bongo siku zijazo...... THIS IS SERIOUS.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WALAANI MAFISADI, MUNGU WAANGAMIZE MAFISADI NA VIBARAKA WAO WAKIWAMO WANAOINGIA HUMU JF. MUNGU ENDELEA KUSIKIA DUA ZETU NA UWASAMBARATISHE MAFISADI NCHI IWEZE KUENDELEA MBELE