Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
- Thread starter
-
- #21
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri maana karibu ardhi itatoa bonde lingine la ufa TZ.
Which natural Justice ??Natural Justice will follow
Jamaa walishajipanga kuwa baada ya JK anafuatia EL, then vijana wao wengine + familia zao n.k. Ndio maana Ridhiwani na mama tayari washapewa nafasi muhimu kwenye CCM. Raisi wetu yupi mwingine ambaye familia yote iliingizwa kwenye ulaji wa CCM? EL is back whether tunataka au la, ngoja tuisubiri radio mestini iendelee kutema.
Mimi yangu macho maana hii habari ni nzito.Vyanzo vyangu vya habari vina elekea kuunga madai yako Kubwa Jinga .Lakini wanakataa kuthibitisha kwangu.Movement under the carpet ni nzito na Lowasa kisha vaa jezi tayari .Hawajathibitisha ila kuna mambo yanayo chemka .
Kwa jinsi JK alivyo mtupu kichwani, sitashangaa kama Teddy atarudi kwenye cabinet yake. Hii bongo bwana. Yasiyowezekana kote yawezekana hapa Tz.
mawaziri gani wanajua nchi hii vizuri!!! eti waziri anasimama nawaambia wananchi kuwa taifa letu ni maskini lakini si kweli,mbona chenge,na wausika wa epa bado wanapeta mtaani....,mimi ni ccm damu lakini mwaka huu ni waibu kweli kweli,tuwakamate wale wote ndio tunaweza kusafisha chama chetu.