Elections 2010 Lowassa kurudi kwenye baraza la mawaziri



natamani kumiliki AK 47!
 

Hicho ndo kilichobaki, CCM will never change at all! Kwa kuanzia tu unaona suala la Spika, we unafikiri wameamua kufanya mambo ya Gender Equality? Give us a break CCM we all know that mlitaka kumtoa Sitta kwenye kiti chake kwa sababu tu hakuwafavour wakati wa issue za Ufisadi. Suala la Gender ni kivuli tu cha yale yanayotendeka!
 
hakuna anayeweza kugeuza tanzania falme yake lengo la jk ni kuweka marafiki zake ili waje wawavute wanae mbeleni. kwa habari za ndani zinaonyesha mipango ya 2015 ya LOWASA kugombea urais imeanza kwa kasi
 
Kuna wizara mpya ya kulinda vyanzo vya Ufisadi Tanzania, nadhani atafaa sana Lowassa kuwa waziri na Chenge Naibu wake
 
Hata angepewa wizara ya jinsia wanawake na watoto bado angechakachua.
 
Hata angepewa wizara ya jinsia wanawake na watoto bado angechakachua.
kama tukitaka kumpa wizara basi tusimpe wanawake na watoto kwani watu hawa wamezoea kusemewa na viti maalum, kama yeye jabari basi apewe wizara ya ulinzi ili alipize kisasi vizuri........... natamani nione akiwa waziri wa ulinzi au mambo ya ndani jinsi atavyowashika wapinga ufisadi
 
inamaana akipewa hakubali mpaka aombwe?? acheni hizo bana yeye ni nani kwani na kafanya nini cha ajabu mpaka aombwe kupewa dhamana ya uwaziri :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:


ni kautaratibu kuwa unapoteuliwa kushika nafasi za juu za uongozi,unapewa taarifa na kama haupo tayari kwa nafasi hiyo unasema kabla hujatangazwa rasmi
 
Kuna mazungumzo yanaendelea kumuomba lowasa akubali kujiunga na baraza la mawaziri lakini kwa sasa katika nafasi ya uwaziri wa kawaida na si uwaziri mkuu. kwa mwelekeo wake inaonekana yeye kutokubaliana na pendekezo hilo

Ule mpunga kutoka Richmond kwani serikali haikulipa? Au umekwisha? Ndio wateule wenyewe hao ngoja Mwanakijiji asikie aje na ndege nyingine inayopaa, hii sasa itakuwa inakwenda kwenye sayari ya Jupiter.
 
Huyu Lowasa akiendekezwa nafikiri 2015 hata uchaguzi hautakuwepo manake alivo na uchu anaweza kujiapisha juu kwa juu
 
Mwacheni azeeke vyema maaana umri wa kufikiri umepungua sana kwake asije akaboronga bora akae nje ya uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…