Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Lowassa sio mjinga, he knows what CCM is capable of doing when they believe you are becoming a REAL threat. Hana uwezo wa kutishia Chama Dola, unless hajipendi
 

unamshauri ukiwa kama nani?
 

Ngoja tusubiri ila atakuwa amechukua maamuzi ya haraka sana,kama mwanasiasa avumilie tu
 

Ndugu yangu uahauri wako kwa mzee wetu ni wa kupigiwa mfano na wala asiwasikilize hawa wachumia tumbo wasio na uwezo wa kujisimamia wenyewe.
 
Mzee tumechoka na hii post kwan Huyu magufuli hana kashfa nyingine ni hizhiz tu.....tumeshazichoka kama unanyngine leta kama huna kaa kimya...

WEWE NI KIKARAGOSI CHA MAGUFURI, HII HABARI IMEKUCHOMA NA ATA MKWE WAKO YULE MWENYE KICHOGO KM NCHA YA BAMIA IMEMCHOMa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…