Wanandugu,
Katika vyombo vya habari (magazeti ya Kiswahili; MwanaHalisi, Majira, Nipashe) kuna msamiati mpya kuhusiana na Lowasa. Kuna watu ndani ya serikali wanaitwa 'Lowasa Masalia'.
Tunaomba mwenyekujua majina yao ayaweke hapa tafadhali
1.
2.
3.
.
.
.
.
Naona mnamwogopa kama UKOMA.
Hamjui kama anaweza kuweka puppet wake pale halafu akafanya kama alivyocheza KAGAME....
kaaaz kweli kweli
mmmhhhh kweli lakini
It can be Anyone, or No one at all na hatutakuwa Wajinga kufikia kumwaga Damu, kwani Lowasa is "Simply a Lost Case" HE DOES'NT WORTH IT.Kama hiyo itakuwa kweli basi damu ya wadanganyika lazima itamwagika!!
alibaba salam,It can be Anyone, or No one at all na hatutakuwa Wajinga kufikia kumwaga Damu, kwani Lowasa is "Simply a Lost Case" HE DOES'NT WORTH IT.
Naona mnamwogopa kama UKOMA.
Hamjui kama anaweza kuweka puppet wake pale halafu akafanya kama alivyocheza KAGAME....
kaaaz kweli kweli
lowassa IMARA katokana na JK DHAIFU...period.Wakuu wa wilaya (80%) na wakurugenzi wa wilaya (80%) so just figure out..jamaa ndio aliwateua wote kwa mission maalum and he is coming back..lol
ushindwe na kulegeakama hiyo itakuwa kweli basi damu ya wadanganyika lazima itamwagika!!