Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha ameunga mkono mchakato wa mabadiliko ya Katiba na akipendekeza ujadiliwe kwa upendo na amani.
Amesema kwa sasa jamii nzima inazungumzia umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba, na ni mjadala muhimu sana kwa uhai wa Taifa.
Source of this information please? Hayo kayasemea wapi? Ameitisha mkutano wa waandishi wa habari? Au wewe umeyapata wapi?
Tiba
Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha ameunga mkono mchakato wa mabadiliko ya Katiba na akipendekeza ujadiliwe kwa upendo na amani.
Amesema kwa sasa jamii nzima inazungumzia umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba, na ni mjadala muhimu sana kwa uhai wa Taifa.
lowasa hawezi!kwani yeye hawezi kutoa maoni yake?