Elections 2015 Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Crimea,

..nimeku-tag ktk post yangu ya Oct 2015.

..tangu wakati huo nimesisitiza tuwe na hisa, na tulinde maslahi ya bandari ya Dsm.

..pia nilipendekeza suala la bomba la mafuta kwenda Uganda kwa ajili ya bandari ya Tanga.

..Kwa kweli JF ni kama kitabu cha HISTORIA.

NB.

..nimeshangaa kwamba hata wakati huo kulikuwa na hoja ya ukanda kwamba Bagamoyo Port inapingwa na watu wa KASKAZINI.
 
Hongera kwa kusimamia unachoamini
 
Leo unataka ijengwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…