Elections 2015 Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Leo nimesoma comment yako kwenye post ya zitto nimebaki nimeduwaa!
 
Leo nimesoma comment yako kwenye post ya zitto nimebaki nimeduwaa!


Acha uongo, i didn't comment anything ktk thread yoyote ya Zitto leo. Bandari ya Bagamoyo hujui kiundani ule mkataba ungepita vile vile ilikuwa ni cancer kwa Tanzania yetu. Acha kumsikiliza Zitto, do deep analysis ya major issues & projects, Zitto huyo alipinga makinikia ya Acacia sana kukamatwa na kuzuiwa, leo wanashangaa tuna share 16% na kampuni mpya ya Twiga + 50/50 ktk profit. Zitto huyo alisema ndege zetu za Bombardier Q400 za awali ni Terrible teen, leo anazipanda kwenda kwao Kigoma na kushangilia usafiri huo huo. Tumia kichwa chako vizuri au nyie ndio fuata bendera nani kasema na kuamini tu.
 
Ulikuwa unashusha nondo, yaani nondooo, hebu shusha na sasa
 
Aisee kanigusa sana. Halafu lowassa ana hekima
sana. Kajiepusha ku msema ovyo jk. Yaani huyu
ndugu ni muungwana sana. Ana bahati mbaya
kuwa alikuwa na rafiki mnafiki
. Hilo jambo la bandari ya bagamoyo kama magu
ni kidume alizungumaie
Magu kidume alilizungumzia na akalikataa
 
Lowassa atukomboe sawa
 
Aisee kanigusa sana. Halafu lowassa ana hekima
sana. Kajiepusha ku msema ovyo jk. Yaani huyu
ndugu ni muungwana sana. Ana bahati mbaya
kuwa alikuwa na rafiki mnafiki
. Hilo jambo la bandari ya bagamoyo kama magu
ni kidume alizungumaie
Muungwana???
 
Ushajua mizigo inayopita kenya kwenda uganda ni tani ngapi na tanzania kwenda uganda ni tani ngapi?
Itakuwa haina maana kutengeneza bandari kwaajili ya uganda tu
 
Magu hakukataa bandari ya bagamoyo bali alisema kuna mambo ya kuzungumza ili kurekebisha mapungufu

Mama anakwenda kufanyia kazi mapungufu husika
Kwa Magu hiyo pronect ilishakufa cos ata katika ilani ya chama iliachwa kabisa na ndiyo maana ikapendekezwa kuongeza fund ya kutosha kwenye bandari za Mtwara, Dar na Tanga.

Leo hii tunaongea tangia mwaka juzi Meli za mafuta zinapaki bandari ya Mtwara kushusha mafuta tofauti na zaman kila kitu ilikuwa Dar then Magari yanasafiri kitu ambacho bei haikuwa sawa ya uuzaji wa mafuta.
 
Kumbukumbu za awali zaonekana, mradi huu ulitiwa saini ya awali 2013.
Nini kilifanya uwekezaji haukufanyika mpaka October 2015 ?
Nadhani kama tungewekeza kwenye kujiuliza kwanini tulichelewa kuanza, kulikuwa na nini huko ndani.

EL kama angekuwa Rais alikusudia kuvunja, Urais aliupata JPM nae hakuamua kuendelea na Wachina, kuna nini humo ndani?

Kwanini focus isiwe kwenye upanuzi wa Tanga na Mtwara kuisaidia Dar port ili tuwe na bandari 3 zenye kufanya kazi kwa umahiri.

Well, Rais wa nchi ni mtu ila anaongoza taasisi yenye nguvu kubwa na ushawishi mkubwa. Akiamua kusonga mbele na mradi huu bila shaka utaendelea.
Ila kuna masuala ya msingi sana ya kujiuliza kwenye ujenzi wa SGR ya umeme na baadae kama Bagamoyo port itajengwa, je, Tanzania inajiandaa kwa ujumla ili tuwe na trade surplus kwenye exports au tunabaki kuwa na bandari yenye trade deficits?

Maombi yangu kwa Mungu, tuwe na trade surplus. Moja ya eneo ambalo Tanzania ina competitive advantage ni kuongeza uzalishaji kwa kuingia kwenye kilimo-biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…