Elections 2015 Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Hatari sana
 
Zitto huyo alipinga makinikia ya Acacia sana kukamatwa na kuzuiwa, leo wanashangaa tuna share 16% na kampuni mpya ya Twiga + 50/50 ktk profit.
Hivi wakati Acacia iko DSE walikuwa wameuza asilimia ngapi ya kampuni kwa umma ?
 
Nimeamini msoga ndio inayoendesha nchi kwa sasa, yule mama yupo tu pale magogoni kufuata maelekezo. CCM ya akina Chongolo mnalo, mtatia huruma walahi pale mashambulizi yatakapoanza kwa CCM sioni wa kusimama hadharani na kusikilizwa
 
Nimeamini msoga ndio inayoendesha nchi kwa sasa, yule mama yupo tu pale magogoni kufuata maelekezo. CCM ya akina Chongolo mnalo, mtatia huruma walahi pale mashambulizi yatakapoanza kwa CCM sioni wa kusimama hadharani na kusikilizwa
Wanaishangilia leo wanafikiri wanamkomoa Magufuli lakini Muda utaongea.
 
Mmmmhhhh??? Kwetu sisi raia wa kawaida ambao hatujui huo mkataba inabidi mtufafanulie sintofahamu zilizokuwepo hadi kuwekwa kapuni na sasa kutolewa kapuni. Mkituelewesha cc hatuna shida hasa mambo haya: 1. Mkataba original ulisainiwa lini na nani (pre-signoff)? Je, ulifanyika uhakiki na kujiridhisha (Feasibility study/due diligence)? Tume ya watu wangapi ilihusika? Ulipaswa kuanza lini na kwa nini uliwekwa kapuni, zilikuwa sababu za kisiasa au uzalendo? 2. Mkataba ni wa miaka mingapi? Gharama ya mradi wote ni sh ngapi? 3. Pay back (Return on Investiment- (ROI) ni miaka mingapi? 4. Risk assessment. Je, ni kweli bandari nyingine (Dar, Mtwara, Tanga nk) inabidi zisiendelezwe? Nini faida na madhara (Pro and Cons)? Je, hakuna mwingiliano na objectives za SGR na bandari ya Dar? 5. Je, ni kweli kwamba mapato yote ya bandari yatasimawia na mchina (no revenue visibility)? 6. Je kuna project kama hii ilishanyika na Mchina hapa Africa ikawa na matokeo chanya au hii ya Tz ndo ya kwanza? 7. Na hoja nyingine kutoka kwa wadau wengine kama zipo. Nafikiri iundwe tume kama ilivyokuwa tume ya KATIBA, ikiwa na wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo na vyama vya upinzani wafanye uchambuzi kisha waje na majibu.
 
Una maoni hayo hayo mpka sasa hivi?
 
Upo Mkuu
 
Basi tunatekeleza kiporo cha ilani ya mwaka 2015, ahadi ni deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…