Lowassa, Sitta wakimbiana hoteli ya Ngurudoto Arusha

Waheshimiwa Heshima mbele
Mti utatambulika kwa matunda yake. Mwembe utazaa maembe, mparachichi maparachichi na mchungwa machungwa.

Hapa tutawatambua wote kwa matendo yao.
 

Wapiganaji wamedai kuwa watu waliohusika na kashfa zote ikiwamo hiyo hapo chini "Washugulikiwe" na chama or something.

Kashfa ya Loliondo – ambapo urithi wa watoto wetu uliuzwa na umeendelea kuuzwa
kwa wageni

Hii kamati ni ya kusuluhisha,na wapiganaji wameshasema hakuna suluhu na mafisadi,na pia hivi Loliondo ina haina uhusiano na Mzee Mwinyi?Ni sawa na zile kamati zake ambazo anawamix wote mafisadi na wapiga kelele,ilimtokea Zitto kwenye kamati ya madini....Huyu Mh Rais naona anapenda masikhara kusema kweli.
Kama yote wanayosema wapiganaji ni ya kweli,basi hatua ya kwanza ni kususa vikao vya kamati hiyo,wakihudhuria vikao hivyo basi moja kwa moja waraka huo machoni pa wengi utakuwa null na wakitapeli.
 
Mkulima your right, Yes, Ni vyema tuzungumzie mambo yenye manufaa kwetu na kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…