Lowassa: Taifa linazalisha wabeba kuni na maji siyo wasomi

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Posts
1,757
Reaction score
277
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lowassa alisema matokeo hayo ni aibu kwa taifa na kuilaumu Serikali kwa kuzitelekeza shule za sekondari za kata.Alisema taifa kwa sasa linazalisha wabeba kuni na maji na siyo wasomi ambao wanaweza kushindana kwenye soko la ajira.
 
Mbona LOWASSA hya huwa hayaongelei BUNGENI??? anaogopa nini?? Ana nini na vyombo vya habari???
 
Huyu ndie aliye tufikisha hapa na shule zake za kata alizoziasisis bila kuwa na walimu wala maabara,
Wanasiasa bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…