Elections 2015 Lowassa: Wapinzani tukishindwa kuitoa CCM mwaka huu (2015) itabidi tusubiri miaka 50 ndio tuitoe

Elections 2015 Lowassa: Wapinzani tukishindwa kuitoa CCM mwaka huu (2015) itabidi tusubiri miaka 50 ndio tuitoe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite

Yaelekea Tundu Lissu ameshasahau japo alikuwa pembeni ya mzee Lowassa wakati anayasema haya.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwaka huu CCM byby muda wenu umekwisha wakutudanganya danganya
 
Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite.

Yaelekea Tundu Lissu ameshasahau japo alikuwa pembeni ya mzee Lowassa wakati anayasema haya.

Maendeleo hayana vyama!
Sifa ya nyumbu ni kusahau haraka!
 
Kumbe lowassa ni mpinzani ndo najua leo aisee afu kauli yake sio sheria
 
Back
Top Bottom