johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahahaha hahahahaha!Mwaka huu ccm byby muda wenu umekwisha wakutudanganya danganya
Sifa ya nyumbu ni kusahau haraka!Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite.
Yaelekea Tundu Lissu ameshasahau japo alikuwa pembeni ya mzee Lowassa wakati anayasema haya.
Maendeleo hayana vyama!
Tunakumbushana tu bwashee!Kwahiyo Lowassa alikuwa Mungu?