Lower Second G.P.A..!!!

Lower Second G.P.A..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9) kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ ninaweza kufanya hivyo? Undergraduate nimefanya Banking & Finance. Salute!
 
With money nothing can be impossible
 
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9) kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ ninaweza kufanya hivyo? Undergraduate nimefanya Banking & Finance. Salute!

Jaribu TU
 
yaan banking na finance unapata lower sec ???
 
Hizo marks zako ni nzuri tu, Hangaika kutafuta ada kwanza vyuo baadaye, wee nenda UD au Mzumbe kawaulize kama wameanza kutoa forms usisahau kupita na Pale IFM wana viprogramu vya mastazi kadhaa pia wanatafuta wateja.
 
Mleta mada,

Kwa GPA ambayo ipo chini ya 3.5 kwa vyuo vingi hapa Tanzania ni lazima upitie kwanza post graduate ili ufikie Masters.

Na hilo halina mahusiano ya kuwa na pesa au huna, ni kigezo muhimu sana kwa mtu anae tarajia kusoma Masters.
 
akarisiti!
 
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9)
kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia
post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ ninaweza kufanya hivyo?
Undergraduate nimefanya Banking & Finance. Salute!

inawezekana mkuu mi mwenyewe miaka 2 iliyopita niliomba masters ya mzumbe ya morogoro nikapata admision na GPA yng ilikuwa chini kidogo na hyo yako
 
Nlikuwa naangalia admission za ud masters mwaka huu. Wamechukua hadi 2.6. Download majina ya postgraduate admission web ya UD uone mkuu. Nawasilisha!
 
Nashkuru wakuu wote kwa taarifa, nimepata kujifunza kitu. Asanteni sana.
 
Nlikuwa naangalia admission za ud masters mwaka huu. Wamechukua hadi 2.6. Download majina ya postgraduate admission web ya UD uone mkuu. Nawasilisha!

Shukrani mkuu
 
Hizo marks zako ni nzuri tu, Hangaika kutafuta ada kwanza vyuo baadaye, wee nenda UD au Mzumbe kawaulize kama wameanza kutoa forms usisahau kupita na Pale IFM wana viprogramu vya mastazi kadhaa pia wanatafuta wateja.

Shukrani mkuu
 
yaan banking na finance unapata lower sec ???

Mkuu tambua kwamba kama vilivyo vidole ndio tulivyo hatulingani. Inawezekana kwamba wewe ni mtu mwenye uwezo sana lakini unasahau kwamba kuna wengi wapo ambao hawana uwezo kama wewe. Kwaio kuliko kunibeza, ungenisadia kama wakuu wengine walivyotoa msaada ningeshukuru.
 
Hiyo GPA inasomeka kabisa, Masters unaingia direct kama kumsukuma mlevi, ingekuwa unasema unatafuta Scholarship kwa hiyo GPA hapo ungekuwa na mashaka, maana kwa kuwa resources ni kidogo huwa wanaamua kuweka vigezo mbalimbali kama GPA, Age nk ili kupunguza idadi ya applicant.

Mkuu donlucchese, apply chuo chochote hapa kwetu unachokipenda kapige shule yako kama una hela yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom