donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9) kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ ninaweza kufanya hivyo? Undergraduate nimefanya Banking & Finance. Salute!
With money nothing can be impossible

Unasoma tu hata 2.3, toa pesa utapewa faster ila baadhi ya vyuo lakiniyaan banking na finance unapata lower sec ???
Mleta mada,
Kwa GPA ambayo ipo chini ya 3.5 kwa vyuo vingi hapa Tanzania ni lazima upitie kwanza post graduate ili ufikie Masters.
Na hilo halina mahusiano ya kuwa na pesa au huna, ni kigezo muhimu sana kwa mtu anae tarajia kusoma Masters.
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9)
kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia
post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ ninaweza kufanya hivyo?
Undergraduate nimefanya Banking & Finance. Salute!
Nlikuwa naangalia admission za ud masters mwaka huu. Wamechukua hadi 2.6. Download majina ya postgraduate admission web ya UD uone mkuu. Nawasilisha!
inawezekana mkuu mi mwenyewe miaka 2 iliyopita niliomba masters ya mzumbe ya morogoro nikapata admision na GPA yng ilikuwa chini kidogo na hyo yako
Hizo marks zako ni nzuri tu, Hangaika kutafuta ada kwanza vyuo baadaye, wee nenda UD au Mzumbe kawaulize kama wameanza kutoa forms usisahau kupita na Pale IFM wana viprogramu vya mastazi kadhaa pia wanatafuta wateja.
yaan banking na finance unapata lower sec ???
ifm hawawezi mchukua na lowersecond mpaka awe na PGDShukrani mkuu
ifm hawawezi mchukua na lowersecond mpaka awe na PGD
unless unayo pgdwhat if ni ifm graduate? Hawata consider?