Inategemea alikosa loyalty kwa kiasi gani. Alifanya kusudi au kosa la kijinga tu?
Mimi ni mwepesi sana kuelewa, na najua kabisa hakuna mtu mkamilifu.
Nikiwa na rafiki, ndugu, partner, nahakikisha najua mapungufu yake
Pia nahakikisha anajua ni vitu gani siwezi kusamehe, na vitu gani naweza tolerate.
Hata mimi sijasema kwa ku-cheat tu. Nimeongea kwa jumla,Labda niseme, tuondoe suala la cheating hapa kama urafiki utakuwa ni wa kimapenzi.
Kuna mambo mengine kama kusema kitu ambacho anajua kabisa hutapenda kama atadisclose kwa watu.
Au anagundua kuna kitu kinafanyika against na wewe halafu hakuambii.
Hata mimi sijasema kwa ku-cheat tu. Nimeongea kwa jumla,
masuala ya kiuchumi, ya kukashifiana etc.
Nimesema inategemea kama ni kitu muhimu sana kwangu,
Kama alijua hicho kitu ni muhimu, kama alijua anacho fanya wakati huo
.Nadhani sijapata maelezo ya kutosha, asanteni wachangiaji.
can you sell your mother/father/mtoto/ndugu wa damu??
Kama aliwakosea mi siwezi kumtoa, ila nitamwambia ni bora ajitoe mwenyewe.hivi mfano ujue ndugu/rafiki yako ni wanted na watu fulani.
Na unajua kabisa alifanya kosa, kama ukifahamu alowakosea wanatafuta details zake, utawapa hizo info?
Kama aliwakosea mi siwezi kumtoa, ila nitamwambia ni bora ajitoe mwenyewe.
Kuna rafiki yangu wa karibu alikua na mchumba wake, wakati wamesha panga hata date ya ndoa
Nikagundua rafiki yangu was cheating on him. what I did was to convinve her to stop her cheating
but pia kusimamisha harusi hadi pale alipohisi yuko tayari. Kuwajibika ni lazima, but siwezi kumtoa.
Kama hakuna uwezekano wa kunaswa nitachuna tu.Nadhani approach hii ni nzuri kwa case hii.
Imagine unam-convice mtu ajitoe wakati unajua akijitoa anafungwa.
It all depends aisee.. . .
Kwanza how loyal is that friend/ndugu to you and just how much of a price you might have to pay for protecting him/her. Siwezi mkingia kifua kuzuia kisu mtu ambae najua mimi hata kuniwekea mkono nisikanyage maji machafu hawezi, labda kama nilimzaa mimi.
Kuna watu ambae ni takers, yani wao wanapenda kupewa kila kilicho kizuri but they never give. Sasa mtu kama huyo kujifanya eti wewe ni loyal kwake no matter what ni ujinga. Ndio yule unajikuta matatizoni kwaajili yake alafu ye haoni kama ulimsaidia kwahiyo hata pole hakupi. Soma watu, elewa watu, wapime watu ndio ujue kama wanastahili loyalt toka kwako na kwa kiasi gani.