Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kummmk sema Mobeto styles ni nyoqow anaonekana fundi sana wa kuterezesha nyoka
Balaaaa!!!mtoto wa mbagala!price breaker naskia alikua ameenda ile kuchapa ilale akajikuta amezama mazima....kila akitoka anazidi kuzama...heeee!duka Mara kuvaa sare,jamaa akatia mimba kabisaaa...mobeto akaskuti yangu yepii!akachomoaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!akawa mama wa marehemu!!!haaamini kama kaachwa!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23] Wema bana yaan kichwani mwake kumejaa tope la kigoma jekunduuuu
Nyie ujue Uzi unatrend huu una viewers 15k naona wanatusoma hukooo machawa wao wanapeleka maujumbe loohh![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpk naogopaaa!Mimi!!!


Wema nyumbu kama nyumbu,ujanja wotw anadhulumiwa na Neema ndepanya!!mfyuuuuuu
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Mkuu huwa unanifurahisa sana,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…