Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
We born town kweli...umepita mle mle rafiki!ashawahi kutekwa na mke wa border way....!!!
 
Ila jabal alimkata sana ngebe huyu na yule bimkubwa chai ngozi bangi aka muarabu koko...!!!sijui ht walimfanya nini
 
Maduka yote yale ya nguo pale studio na kule sinza utakaa nje pale masaa hutoona mtu akiingia mpaka unajiuliza hawa wanalipaje kodi? Watu wengi wananuanua kariakoo huko,nani aende maduka ya sinza kiatu cha 55,000 utaambiwa 120,000.
Kaka kula tano, halafu kweli jamani ujue Mara kwa Mara nakua mitaa hyo lakini sioni wateja madukani mwao ila nashangaa wamepaki magari makali,wanaishi good life [emoji38][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]daaahh!mjini kuna mambo!partee afta partee everee deiii!!!
 
Dah huyu dada mbona alipita na watu hatari hivo, hyo ya bishop, sijui msaidizi na huyo tajiri wa mwanza ni baada ya kutemwa na phase 4 akawa wanapasiana, sasa mwendazake aliuvaa mkenge maskini hafu jinsi anavo act malaika na mapambio sasa
Ana sura ya kipole Sana'a ila weee!binti ngosha yule balaaa...kapigana vita zoteeee!!kuanzia WW 1 mpk WW 3 hahahahaaa...
 
[emoji113]
Heh, yaishe ,
Sio kwa code hizi![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vipi bila bila au...?!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…