Elections 2010 Loyola vurugu tupu: CHADEMA yataka matokeo yatangazwe haraka

diana98

Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
26
Reaction score
0
Chadema wataka matokeo ya ubungo yatangazwe haraka kabla yajachakachuliwa kuna vuruguzimetokea hapa naona mabomu ya machozi naskali kibao wametandazwa kila konaa
 
They better do that otherwise ni kuleta vurugu na uvunjifu wa amani
 
Duh Loyola ndiyo jimbo gani la uchaguzi?lipo mkoa gani?mimi sijawahi kusikia jimbo hilo!!!!!!!!!!!
 
Duh Loyola ndiyo jimbo gani la uchaguzi?lipo mkoa gani?mimi sijawahi kusikia jimbo hilo!!!!!!!!!!!

Loyola ni sehemu katika jimbo la uchaguzi la Ubungo ndg. So, nadhani umesikia sasa
 
Temeke ccm wameshinda, wametangaza mapema, Ubungo kishindikana nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…