Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
UN imetoa taarifa kwamba Lord Resistance Army led by Joseph Kony imeajiri watoto zaidi ya 20,000 kwenye jeshi lao, wakiwemo watoto wa kike ambao wanatumika kama wives (ngono) tangu ilipoanza vita vyake miaka ya 1990's. Kwa mujibu wa report hiyo LRA ina recruite watoto mostly kutoka Kongo RDC na Uganda.
Pamoja na kutumia watoto wameshafanya mauaji ya kushtukiza katika vijiji vingi nchini kongo, uganda na sudan na kusababisha vilema, umaskini, magonjwa na zaidi ya wakazi 220,000 nchini pekee na wengi zaidi ya hao Uganda makazi yao yameharibiwa na LRA.
LRA ni kikundi cha kigaidi cha Kikristo katika ukanda wa maziwa makuu na east africa community, tunawaalani kwa uharibifu huo wa maisha ya watoto na raia wasio na hatia.