Kipo eneo la Lwanzari.Kusini mwa mjini Tabora njia ya kwenda Sikonge.Ndipo eneo yalipo makaburi ya Lwanzari.Kwa bajaj unafikishwa.Sidhani kama nauli inazidi Tsh.1000 kwa sasa.Nilifika yapata miaka minne sasa.Ni chuo kizuri kwa fani zake.