Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ukiwasikia, ukiwasoma Wanayanga wakilikataa goal walilofungwa Azam ambao jana Captain wao alilikubali na kusema ni Uzembe wao. Unagundua wanayanga siyo Binadamu.
Hawaujui mpira. Ndo maana huwa wanaambia haya kambebeni Sarpong wanaenda, wanaambiwa kambebeni Hersi wanaenda.
Wanaambiwa nendeni mkambebe yule sharobaro aliyekuwa anaongea Kireno. Hawafikirii wanaenda. Kama mbwa ukimwambia shika yule, haulizi kwa nini. Anaenda.
Hawa Yanga si binadamu wa kawaida. Wana matatizo makubwa kichwan na msongo mkubwa wa mawazo. Wamechanganyikiwa,wanatapa tapa wengi Elimu walikosa.
Goal la jana halikuwa na shida msikilizeni Kaptain wa Azam alipohojiwa. Lakini angalieni magoli kama hayo hufungwa na team zenye wachezaji wenye akili na kuufahamu mpira.