Ulikariri poleNaona kama wamempendelea au sababu simfatilii??
Nilitamani achukue Cr7
Kwani miaka Ile Zidane, Rivaldo, Figo wanabeba mbona walikuwepo wafungaji mabao mengi/wafungaji boraBado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.
Haha busquet sio mtuu haonekani sana ila shughuli yakeLuca amestahili ila ukimuangalia anavyofanywagwa na Sergio busquets unaweza hisi amependelewa
Bado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.