Lucas Selelii adai Bungeni kwamba wa-Bara wanabaguliwa Zenj!!

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..kwa kweli hata mimi namuunga mkono Mh.Selelii ktk madai yake haya.

..haijalishi kama wa-Tanganyika wanataka kumiliki ardhi Zenj au la, sote tunapaswa kuwa sawa ndani ya Jamhuri ya Tanzania.

MP asks a question another MP

In a surprising and unusual turn of events, the Jangómbe representative, Mr Mohamed Rajab Masoud asked a question a fellow MP, Mr Lucas Selelii (Nzenga, CCM), instead of the Minister in question, who was at the time, the Minister for Land and Human Settlement Development, Mr John Chiligati.

The MP's were taken by surprise when Mr Masoud requested to ask a question Mr Selelii, when was given a chance to ask supplementary question to the minister, who was asked a principle question by the later.

"I would like to ask Mr Selelii if he does not think that his question is misleading the public for saying that the Zanzibar land law is discriminating?" asked Mr Masoud.

"Don't be surprised, our regulations allows a MP to ask a question another MP, so Mr Selelii proceed answering it," said the Speaker, before allowing Mr Selelii to answer the question.

Then Mr Selelii, mimicking the way Ministers answer MPs questions said, "Honourable Speaker, I would like to answer the question by Honourable Member of Parliament," which made the whole parliament laugh.

Mr Selelii argued that he is not misleading the public, insisting in his argument that the law is discriminatory since it is treating Tanzanians from the mainland as foreigners when it comes to land ownership in the two isles.

Mr Selelii said that he was not pleased with the minister's answer to his principal question. The Minister told the MP that the law is not discriminatory, since the land issue is not a Union issue, thus Zanzibar government has the right to create its own laws regarding the issues.

Concluding the debate, the Speaker said that he was surprised that there are Tanzanians from the mainland wanting to own land from the tiny isles while there is vast of land in the mainland. Pemba and Unguja Isles have total of 2640 square killometres.

"This debate will continue during the break and some other time."
 
wabara wanatakiwa wawe na haki ya kuown land kama vile wapemba na waunguja wanavyomiliki arhdi bara
 
..kwa kweli hata mimi namuunga mkono Mh.Selelii ktk madai yake haya.

..haijalishi kama wa-Tanganyika wanataka kumiliki ardhi Zenj au la, sote tunapaswa kuwa sawa ndani ya Jamhuri ya Tanzania.

Wazanzibar hata kama wangekuwa na ardhi kubwa wangekuwa "makauzu" vile vile. Ukitaka kujua jamaa ni wachoyo angalia jinsi "mafuta" yao yanavyowakosesha staha na kujikuta wakiropoka bila mpangilio kuanzia mtoto mdogo hadi Rais.

Ila wanachotakiwa kufahamu ni kuwa Mungu hakuumba watu Unguja na Pemba bali watu wa Unguja na Pemba ni masalia ya wazamiaji tu toka bara. So they should be fair to their brothers and sisters!
 

Na hao wabara walitokea wapi?
 
Bwana Lamba mchoyo ni nani, mwenye kingi ambae anataka kujiongezea kwenye share yake au yule mwenye kidogo anaetaka kukilinda?

Na mbona mafuta tu, vipi dhahabu, almasi, uranium, tanzanite nazo kwa nini zisiwekwe kwenye muungano? Yote ni maliasili.

Na tatizo la kununua ardhi mbona wako wabara waliojenga mashule na wanafundisha wazanzibari? Hizo ardhi ni za kwao. Vile vile ardhi zilizotumika kujenga mahoteli, mabaa, makanisa mbona zimepatikana?

Of course kama nina ardhi yangu ndogo na nina familia kubwa sitaiuza hata kwa fedha ngapi. Iwe wa bara au visiwani humo humo.

Jee wewe kama sio Mchaga unaweza kwenda Moshi Machame au Marangu ukanunua ardhi? Utaipata?
 
hiyo nzuri kubaguliwa, lakini ni kweli watu 10000 wakabaguliwa na watu 2000? au ni kuamua kuwameza wote tu?
 
This is not only discriminatory, it reeks of unconstitutionality.
 

Nilijua hilo la makanisa na mabaa lazima litakuja kwenye mjadala huu hapa. Mbona unakereka sana? Mbona sisi hatuna shida na hizo bar hapa Moshi?

Kama una pesa njoo ununue kiwanja ujenge chochote utakacho (bar/kanisa) poa tu. Mbona kuna wageni wengi sana walionunua ardhi Moshi? Au unaongea hata huijui Moshi ikoje wewe? Uliza waliowahi kufika wakwambie ndipo uje na argument.
 
wabara wanatakiwa wawe na haki ya kuown land kama vile wapemba na waunguja wanavyomiliki arhdi bara

sasa tunarudi pale pale, waZanzibari hawataki muungano .huu muungano unalazimishwa na bara. hebu uvunjike kila mtu aangalie mpango wake.
 

wewe waZanzibari wamesha gundua njama za bara...kwahiyo waachie na nchi yao...cha kujiuliza , hii dhahabu,almasi, gesi na maadini mengine ambayo yanapatikana hapa bara, Zanzibar wanafaidika na nini? wewe unajua pesa ya maadini kiasi gani na kwanini iwe siri. tanzania sio nchi masikini lakini kuna kundi la watu wanao itawala hii nchi ndio wanaoifanya iwe masikini. kwahiyo kabla ya kuzungumza kuhusu mafuta ya zenj.jiulize hizi mali za hapa bara nani anafaidika nazo. sasa unataka wa zenj wate mafuta yao ,halafu iwe vipi? sasa wamesha amka.
 

Mjadala wa nani kanufaika na natural resources za bara ni mpana na unaweza kuanzishiwa mjadala wake. Hata vijiji vinavyozunguka migodi hii ya dhahabu havijanufaika sembuse Zanzibar? Hata the so called mafuta yanaweza yasiwasaidie, pengine yatawavuruga zaidi.

Hebu tujadili ardhi kwani ni miongoni ya resources ambazo angalau kila mwananchi anaweza kuzi-access. Kwa hiyo maamuzi yeyote ya kuibagua kwa watu fulani is a matter of great moment.

Under any circumstances, mtanganyika yeyote hawezi kukubali kuona ni haki kwa mzanzibari/mpemba pekee kua-access ardhi yake ya bara halafu yeye akitaka kumiliki zenji anaambiwa ardhi ni ndogo. Hii ni sawa na kuleta sera ktk Shirikisho la East Africa kuwa eti kwa kuwa Tanzania ina ardhi kubwa basi ni ruksa kwa nchi ndogo (e.g Burundi, Rwanda) kuja ku-access ardhi. Lakini iwe nongwa kwa Mtz kupata ardhi huko eti kwa kuwa ni vinchi vidogo.

Muungano una maumivu/sacrifices zake, there must be a price to pay gentlemen!

Nawasilisha!
 
Nakubaliana na Spika. Kwa nini nyinyi huko Bara- kama unatokea Songea usitake land pale Kibaha Maili mbili?- Utake Land Zanzibar ambako unajua wenyewe (wazalia pale ) haitutoshi. Muungano ni Undugu sio ushindani huu wa Kijinga. Mpemba anapewa land huko Maswa kwa sababu Land ipo huko na haina matumizi- naye ni Mtanzania- kwa nini asipewe?
 
 

Mkuu sikupenda kuigia kwenye huu mjadala lakini imebidi, how much idle land is there in Pemba????????????? Just be honest and realistic.
 
Mtu wa Singida,Shinyanga,Bukoba au Mwanza anafaidi nini na Zanzibar?
Bora wa Tanganyika tuwe na nchi yetu,tuwaachie hao ,wawe na islamic state yao.
 
Tatizo la hawa wenzetu ni ubaguzi na uchoyo tu. Nimeshakaa nao sehem nyingi ndani na nje ya TZ wanapenda sana umimi,kila mara wanajiangalia wao kwanza wakati sisi tunawachukulia kama waTZ wao wanatuona wabara. Mtabadirika lini???? Tena wengine wamesoma vizuri tu lakini wapi!
 

Kwa kua si wa bara basi ni adimu (wachache) na ushindani wake unaongezeka katika kupata maslahi ya Muungano. Ndio maana wangependa sana kupata fifty fifty shares ktk kila kitu.
 

Kuna siku hawa waheshimiwa watadai mtanganyika asioe mzanzibar kwa sababu wao ni wachache bali waoane wao kwa wao.

Mimi siamini kama kuna watanzania wengi kihivyo wanaotaka ardhi zenji. Personally nisingependa kuishi sehemu ninayobaguliwa kila siku na ukikaribia uchaguzi ndio scape-goat wa kila baya! Nadhani umefika wkt sasa watanganyika walioko zenj warudi nyumbani mara moja na wazenj tulionao huku pack n go. Kama watapenda 'nchi yao' iombe uanachama East Africa Community. Ilikuwa ni makosa sana kuungana wa watu wenye historia ya machafuko, chuki and all evils.

Juzi juzi waganda wamegundua mafuta na Museveni ametoa wito wa kuona East Africa inanufaika na mafuta hayo.

Watanganyika tumenunua mafuta miaka nenda rudi, tusitishwe na "mafuta" ya kufikirika. Then tuangalie namna tunavyo weza kutumia umeme wetu kujibu mapigo kama Russia wanavyoitumia gesi yao "kikamilifu".

Zanzibars should be treated just like any foreigner. There should be no let up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…