Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.



Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
 
unawatafutia matatizo vijana wetu wakajichora mgongoni,
 
Labda hata huo wimbo uliompa umaarufu anataka kuutangaza kupitia mzee wetu 'kipenzi'!
ITS ME AGAINST JAH!
 
usipende kudanganya watanzania huyo ni dudu baya na luciano ni huyu hapo chini.



swissme
 
Rais wetu ni NURU YAGAA GIZANI. ..UBARIKIWE JPJM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…