Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Kajichora jina sawa, je amekiri kuwa hilo neno ni jina la mh wetu.. Isijekuwa ina maana nyingine huko..

Angechora sura au akikiri kuwa huyo ni mh wetu bas sawa
Kwanza kwa hiyo picha unajuaje huyo ni mjamaika na si msukuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…