Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Karibu tena katika mwendelezo wa Sayansi ya kiroho.
Wanadamu na vitu vyote vilivyo hapa duniani ni Energy. Tunaweza kusema kuwa ni vibration. Na katika kwa mfumo wa consciousness hapa duniani tupo katika wavelength 7.23cm. Ndio maana unaweza ukaona kitu au ukagusa kitu kilicho kwenye mfumo huo. Hii ni namna ya vitu vinavyoishi hapa duniani. Milio ya sauti tofauti tofauti ni frequency flani. Sitaki nipoteze mda mrefu kuonglelea hilo jambo kwa kuwa ni utangulizi tu wa kitu ambacho ninataka kuongelea.
Mambo ya kiroho na science zilikuwa ziko mbali sana. Lakini kadri siku zinavyozidi kwenda sayansi na Mambo ya kiroho vinakuja pamoja. Lengo kubwa ni kuwafumbua macho watu na wajitambue wao kuwa ni akina nani.
Mambo ya kiroho yalipotoshwa kwa kiasi fulani na dini. Na kuwafanya watu wawe waoga.
Lucid Dreaming: Ni namna ya kuota ndoto ukiwa akili yako ipo active. Hii ni hatua muhimu sana kwa safari ya kiroho. Ni wakati mtu anaota ndoto na anakuwa katika hali ya kujifahamu. Na akili yake inakuwa ipo active na anaweza akaelezea ndoto yote. Inakuwa ni vigumu kutenganisha uotaji na kutokuota.
Kuna tofauti ipo kiasi fulani wakati unaota na wakati huoti ili kujihakikishia kuwa unaota au la. Kama unaota ukianza kuhesabu vidole vya mikono utaona vidole vipo tofauti. Basi ujue kuwa upo kwenye doto. Na katika hali hiyo utakuwa na uwezo mkubwa maana unaweza ukafanya vitu vikubwa. Unaweza ukafanya chochote kinachokuja kwenye akili yako.
Lucid Dreaming husaidia sana kutibu magonjwa ya kisaikologia. Watu wanaoota ndoto za ajabu inawasaidia mno. Pia husaidia wakati mtu anajiandaa na kitu flani. Anafanya mazoezi ya hicho kitu kwenye ndoto. Mfano: unajiandaa kufanya presentation tayari unaifanya kwenye Lucid Dream kiasi kwamba unafanya na unaweza ukawa unajibu maswali kwa yule anaye kuuliza.
Kunahatua muhimu ya kuweza kuanza kujifunza Lucid Dreaming. Nazo ni za kawaida sana:
Kwanza ukumbuke ndoto ya kawaida ukiamuka unakuwa umeisahau. Lakini hii inakuwa na uhalisia maana akili yako inafanya kazi.
Kwa wale wanao anza kabisa ni kwamba: Neda kwenye kitanda kulala na kisha weka alamu yako ya simu baada ya masaa manne ikuamshe. Baada ya kuamka subiri mda wa dakika kama 10 hivi. Kisha nenda tena kitandani kulala. Tulia tu pale kitandani, kisha utaanza kuhisi mwili wako unakufa ganzi. wewe tulia tu baada ya mda utaanza kuingia kwenye Lucid Dreaming.
Jaribu utanipa jibu.