Lucid Dreaming: Kuota ukiwa unafahamu (Spirit Science)

Lucid Dreaming au Austral Travel ni highest stage of meditation mtu wa kawaida si rahisi kufanya.

Wewe kama huwezi hata kufanya meditation ya dakika 30 utaweza vipi hili?

Halafu pia uwaeleze side b ya hii practice kwasababu kuna vitu watu waelezwe kabla ya practice yenyewe.

Anyway....kwa sababu wengi hapa ni beginners hakuna tatizo sana hatahivyo kwasababu wote hawatoweza kufanya lucid Dreaming hata wajitahidi vipi.
 
Ndugu yangu usiwatishe watu. Kitu kinachofanyika ni kuongea na nafsi yako mwenyewe. Usiwatishe watu hakuna hata mmoja aliyewahi kuathirika na Lucid Dreaming. Acha kutisha watu kama kitu haujui ni bora ukakaa kimya. Lucid Dreaming ni hatua moja kuelekea kwenye Spiritual Reality. Acha kuogopesha watu waache wajue ukweli wao.
 
inakuwaje waweza kuwa umelala usingizi lakini unasikia kila kinachoendelea nje. kama watoto kucheza Dada kuita nk
 

Nafikiri science unayoiongelea hapa sio science ile ambayo inataka 'empirical evidence'.
 
Mimi nilikuwa nafanya hiyo Lucid Dreaming bila hata hizo meditation steps maana sizijui. Sema tu kwamba Sleep Paralysis nilikuwa naikemea kwa jina la YESU maana nilikuwa sijui kwamba it is a step to Lucid Dreaming and Astral Projection badala yake nilifikiri nakandamizwa na jinamizi.Kwa sasa nimebakiza tu kufanya AP mapigo ya moyo huwa kasi sana inapofikia hali ya kutoka kwenye physical body na kuingia astral body. Kwa hiyo si lazima kufanya meditation kwanza.
 

Mkuu.

No. Ni different kabisa na Meditation.

Kufanya Hii na kufanya Meditation ni different kabisa na experience ni tofauti. Japokuwa walimu wengi wanasema kuwa ni sawa lakini purest form ya meditation ni meditation inayoelekezwa na Gurus na Monks lakini meditation za sasa nyingi zinatumia imagination sana. Something which is really lie.
 
Hii haina uhusiano kabisa na Meditation wala haina faida sawa wala uhusiano sawa.

Nadhani kuna tatizo kubwa sana katika modern spirituality. Kuna form nyingi sana zinazoclaim ni sawa na Meditation au zina effect sawa na meditation. Lakini hiyo ni effect iliyotakana na movement ya New Age. Hawa New Age wamekuwa wakifundisha watu elimu mbalimbali ambazo nao waliziiga kutoka katika spirituality za East zamani.

Zamani sana kuna watu waliokuwa wanajifunza meditation kupitia gurus, wengine waliacha maisha ya mjini na kukaa porini kujifunza meditation, lakini miaka ya sasa wanafundisha meditation kwa kutumia sauti guidance, slow music, imaginations n.k vyote hivi is a lie. Kutokana na nature ya akili katika kutengeneza imagination ndio maana Gurus wa zamani sana walikuwa wanatumia trick mbalimbali kufundisha watu ili kuwatoa katika imagination zao wanazojitengenezea wenyewe. Ilikuwa ukipata guru mzuri unaweza ukafanya meditation hata ikachukua siku moja mtu akaamka to the highest reality lakini miaka ya sasa watu hutumia miaka na miaka bila kufikia highest level.

Napendekeza sana kwa wale wanaojifunza kuamka (Enlightenment/Revelation) waepuke sana fakes zilizowekwa katika NEW AGE. Wajaribu kusoma kwanza what is it na pia wasisahau kufahamu asili ya hizo practice zilianza wapi na ni kwanini hapo kale watu walivigundua. Miaka ya zamani ilikuwa ni elimu ya siri sana. Hata Yesu inaaminika alikuwa anaifahamu Taamuli (some claims and they have evidences) lakini miaka ya sasa imekuwa too public lakini diluted.
 
Usubiri ktk mtindo gani? Umelala hapo, ukae kitako, ushuke kitandani na kukaa sehem nyengine, usimame or?

'
Hope hapo unalala kwa kunyooka. Isn't it? Vipi kuhusu wale wanaolala ubavu ubavu?

Wewe kabinti,si ulisema huamini haya mambo?haya onyesha hekima zako
 

Ntajuaje sasa kuwa hii ni fake na hii ni real?? Nahitaji kujifunza sana hii elimu ila bado sijapata mwalimu
 
kwanza kabisa ningependa uandae uzi kuhusiana na hizo wavelength na frequencies na pia ningependa kujua tofauti ya lucid dreaming na astral projection nasubiri feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…