Luck Dube wa No body can stop Reggae. .. Kwanini Alikufa?

Yeye asife amekuwa nani!
Hizi huwa ni kadari Allah ametupangia waja wake kuwa mtu atakufaje
 
Umeonyesha hujaelewa chochote kwenye bandiko langu.
Yeye asife amekuwa nani!
Hizi huwa ni kadari Allah ametupangia waja wake kuwa mtu atakufaje
 
Dube aliuawa kwa bahati mbaya na watu waliokodiwa kufanya mauaji ili waondoke na gari yake.
Hata muuaji alikiri kusikitika baada ya kuambiwa alimuua Dube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…