Lucky Dube Hakumuua Senzo

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
854
Je, na wewe ni moja ya wanaoamini Senzo alishakufa? Je, na wewe unaamini kuwa Lucky Dube ndiye aliyefanya conspiracy ili Senzo auwawe?

Angalia hii documentary.

.
 
Mi mwenyewe sijui mkuu, ngoja wajuvi waje
 
Hata mimi sijawahi kushawishika kuwa LD alihusika, ati kisa ni kuogopa kumfunika, wakati Senzo hakuonesha threat yeyote.
Yaani sawa na Mose Iyobo atoke wasafi akawe solo artist, halafu Diamond amuue kwa kumuogopa! No, haiwezekani.
 
Sijaamini hadi leo hiyo issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…