Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe


We are living in this crazy world,

Leaders starting wars anytime they want,

Some for their lives, some for fun and their own glory

Leting people die for the wrongs that they do always painful,

Come on now liltle boy say your prayers befor you sleep

liltle boy went down on his knees and said oh lord
now I lay me down to sleep I pray the lord my soul to keep and if I die before I wake I pray the lord my soul take

Cause he is living in this crazy world

Huu wimbo naupenda sana
 
Kweli nazeeka ...Lucky Dube tayari 10 yrs tangu auwawe! Sasa naelewa kwanini nikikojoa kulenga choo tu ni shida wakati kijana kojo linarushwa hata mita mbili ....
 
Kwenye nyimbo za mapenzi kuna nyimbo kama Romeo en Julieth, I got you babe, its not easy etc. Lakini kuna wimbo wake wa Take chance.
We were only 18 years old, didn't know much about many things.
The only this we know, that we love each other.
You were a millionaire's daughter, I was a grave digger's son. They told you to stay away from me, they told me to keep away from you.
Look at now, we are living our dreams, which goes to say, love is thicker than blood.
 
Tutamkumbuka daima lucky Dube ! Ujumbe aliouacha bado unaishi mpk Sasa
 
Sema hakuwa na nyimbo za mapenz...

Naomba nikusahihishe kidogo. Nyimbo za mapenzi Dube anazo, tena nyingi tu. 1. I have Got You Baby 2. It's Not Easy 3. Romeo And Julieth na nyingine nyingi tu. Si unaelewa mambo ya mapenzi hayana mbabe, hata Robert Nesta Mwenyewe (Bob Marley) Peter Tosh, wote waliimba nyimbo za ma-luv davvyyyy!!
 
Aisee sijawah sikia hiz mkuu.. kindly attach hapa basi huo wa Romeo and Juliet
 
Nisaidie huu wimbo wa Romeo and Juliet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…