Lucky me-GNAKO (official video)

Lucky me-GNAKO (official video)

dah...mi sijaielewa kabisa video.ila ngoma kaliii sana
 
iko vp mkuu?
Kule msituni alipokuwa anapita na vitu alivyokuwa akiona ni sawa na maisha ya duniani tunavyoishi...raha na karaha..ila mwisho akanipa somo kuwa maisha ya duniani tunapita tu (pale alipokuwa ndani ya jeneza na lilipojifunga ndio ikawa mwisho wake)...Mimi ndio nilivyomuelewa hivyo kiasi
 
Nyimbo nikali sana ila video kiukweli binafsi sijaielewa..
 
GNako hajawahi kukosea kwenye hits zake.The guy is good.
 
Back
Top Bottom