kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Jamaa katumia fasihi kubwa na ina funzo kubwa sana ile nyimbo na imenigusa kwa kwelidah...mi sijaielewa kabisa video.ila ngoma kaliii sana
aseee....natamani sana kufahamu amemaanisha nini,maana mi nimetoka kapa mkuu.Jamaa katumia fasihi kubwa na ina funzo kubwa sana ile nyimbo na imenigusa kwa kweli
Mimi nimeuelewa kiasi tu..kwa maana fasihi aliyotumia balaaaseee....natamani sana kufahamu amemaanisha nini,maana mi nimetoka kapa mkuu.
iko vp mkuu?Mimi nimeuelewa kiasi tu..kwa maana fasihi aliyotumia balaa
Kule msituni alipokuwa anapita na vitu alivyokuwa akiona ni sawa na maisha ya duniani tunavyoishi...raha na karaha..ila mwisho akanipa somo kuwa maisha ya duniani tunapita tu (pale alipokuwa ndani ya jeneza na lilipojifunga ndio ikawa mwisho wake)...Mimi ndio nilivyomuelewa hivyo kiasiiko vp mkuu?