Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Acha masihara kavu tamu mkuu acha watu waenjoy.
Matamu mkuu!!!Maisha sio matamu?
Vitabu vitakatifu vimekataza zinaa, zinaa inaleta magonjwa ya kuambukiza, inaleta mimba zisizotarajiwa, inaleta watoto wa mitaani, inaleta mtafaruku kwenye jamii husika, n.k,Ndio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Again mwana utafiti, sijui utafiti wako hua unaufanyia wapi,Life expectancy ya Gay's ni fupi sana,labda aanze ushoga uzeeni
Tusi lipo wapi hapo ?Kwa mwanaume ambae anaingiliwa na mwanaume mwenzie ?
Ningeshangaa kama usingekuja kwenye huu uzi naona unapambana sana kutetea ushoga... komaa na wewe siku zako zinahesabika.Again mwana utafiti, sijui utafiti wako hua unaufanyia wapi,