huyu wa kwetu hapa salma ..naye anao washindani wengi tu..na juzi kachukuliwa mwingine mbichiiiiiiii na ana mtoto mchanga sasa..ndio maana naye mikogo mingi ..ie misafara ...ets ili kuwakoga wenzake ..as if saying hata mkijifanya vipi..mimi ndie ninayetamba!!!!!
wakubwa haoo!!!..kwa waafrika hiyo si dhambi??!!
Hawa Ma1st Lady kwa nini tu wasipende heshima?
Of course she felt insulted kwa sababu Wambui ni jina la mke mdogo wa Kibaki ambaye Lucy hamtaki kumsikia wala jina lake kutajwa. Huyu mama ni jeuri. Lakini hata ukimsikia anavyomwombea kura mumewe. She is a better orator than Kibaki. Kibao hicho kitampatia kura mumewe kutoka kwa wanawake ambao waume zao wamehamia nyumba ndogo.Does it mean that lucy was insulted by the name wambui!??