Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huyu mama kiboko. Nilishuhudia press conference ya kibaki anakanusha kuwa hana mke mwingine. Akawa anajiumauma. Mana akanyanganya mike na akawaambia kwa ukali mapaparazi kuwa "if your president does not sue you Me and my family will sue you" alikuwa anawaambia kwa kufoka na pres......kanyamaza kimya anaona angesema angepigwa kibao.Rais wa Kenya.. Mwai Kibaki ni kivuli tu
Nyie si mnasemaga kwenye mafanikio ya kila mwanaume kuna mwanamke nyuma yake. Sasa mnashangaa nini kwa Mama huyu?