Lucy Komba na mzungu sasa hakuna ndoa tena

Lucy ndo mnani hapa Tanzania mbona me naskia hilo jina leo... Na yeye ni star sana kiasi kwamba ni muhimu tufautilie maisha yake?????
 
Kumbe umesikia hujathibitisha ukishathibitisha kwa nn kaachwa leta tena uzi mwengine
 
Nahisi mjomba wana personal interest mn watz hatumjui huyo bibie......
 
hukupenda alivyowasema wenzake ktk social media mbona na wewe unaandika mambo yake binafsi ktk social media, ungenyamaza tu kujitendea haki.

"usijifanye mstaarabu kuwa mstaarabu" by Paul Makonda
 
Mademu wa Kibongo wanaona sifa sana kuliwa na Wazungu
Hivi hapo huyo Mngoni kageuzwa geuzwa na mzungu kachokwa then kutupiliwa mbali
Mzungu akikupata katika mazingira ya "Kuuza uza" mbunye atakuheshimu kwa muda tu,akikukinai anaku-damp tu

Hivi hapo huyo dada wa Kingoni atakuwa kaliwa "Mfalanyaki" yake mpaka basi
Jamani dada zetu hawa wazungu watu wa hovyo sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1] kumbe huyu mzungu pori yupo bado daah Lucy bana ila ndio hivyo kipendacho roho......
 
Ndoa taasisi... labda kwake ilikuwa fursa alaf mzungu akashtukia game akamuwahi...
 
hukupenda alivyowasema wenzake ktk social media mbona na wewe unaandika mambo yake binafsi ktk social media, ungenyamaza tu kujitendea haki.

"usijifanye mstaarabu kuwa mstaarabu" by Paul Makonda

We Bashite nilijua ni mjanja na bongo imekaa mahari yake. duh! na ukome kunicoment nyuma ktika post zangu, fake mkubwa wewe
 
hukupenda alivyowasema wenzake ktk social media mbona na wewe unaandika mambo yake binafsi ktk social media, ungenyamaza tu kujitendea haki.

"usijifanye mstaarabu kuwa mstaarabu" by Paul Makonda
Makonda huyu mkuu wa mkoa? Kolomije primary?
 
hii ni siku yake ya harusi, wadada wa mjini walisema sana kuwa ameolewa na gauni la ki-Paimara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…