Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.

decent girl utakuwa wewe??? eti decent girl. madecent girls saa hizi wamelala sio wewe muda huu unashoboka na kutafuta wateja humu manake mtaani ulishaharibu. kwendraaaaaaa mwana kwendraaa
 
ohooooops am sorry utafiti kwa heshima yako naaacha kumquote nashangaa from no where mtu ana ni attack sijui katumwa sina mazoea nae hata

from no where wapi?? mimi na wewe alomtafuta mwenzake ni nani?? nshawahi kukuquote wewe?? au kusema kitu kinachotokea ndo kuniambia naongelea experience?? wewe hunijui nje ya JF so kama naongea kitu inawezekana naishi na jamii ya wazungu, au nimeolewa nao, au nimedate nao...so kusema ulichosema ilikuwa ni lazima nikushushie mvua. siku nyingine kabla hujaquote mtu na kuweka pumba zako angalia ID kwanza manake wengine sisi ni heshimu wengine uheshimiwe...usipojiheshimu nimvua tuuuuu kama hizi
 
Last edited by a moderator:
ohooooops am sorry utafiti kwa heshima yako naaacha kumquote nashangaa from no where mtu ana ni attack sijui katumwa sina mazoea nae hata

Acha haya mabishano sio mazuri kabisa. Asante kwa kuelewa..
 
Last edited by a moderator:
nshamalizana na huyu f...al..a. siku nyingine aje tena. sinaga shobo na mtu humu JF ila ukinitafuta yakinifika shingoni naakutua puuuuuuuu kama nilivyomtua huyu miss ushuzi. tusipoonana hapa tuonane ban ikiisha.

Acha kutoka mapovu na domo lako linalonuka wewe.
 
Miss Neddy you are what 20 years, 21, 19? You are too young for this shit! You have your whole future ahead of you! YOU DONT NECESSARILY NEED TO BE FRIENDS WITH EVERYBODY! Do something useful with your life while you still can! If you dont you will end up exactly THE OLD CARGO bitichin with young girls on the internent! I really hope that doesnt happen to you dear! Because you are a good person! Myabe a little childish at times but mostly a good girl!

Chear up I PERSONALLY INVITED YOU TO SERENA! :A S wink: QUIT THE ATTITUDE AND SHOW ME SOME CLASS!
 

Jf ni zaidi ya ujuavyo.waache walumbane nizidi kujua nyuma ya pazia
 
Jf ni zaidi ya ujuavyo.waache walumbane nizidi kujua nyuma ya pazia

Ahahah aahahah, kumekucha, mi nawasihi tu izo hasira zao waziweke mpaka kesho maana leo ni siku ya bwana hatutaki marumbano humu
 
sijaona point ya yeye kusema hilo... anamtangazia nani? kaolewa afanye yake hizi publicity za nini ka sio ushamba na ulimbukeni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…