Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.
Ahahaha binamu we kiboko duh, wazungu wengi ni wafiraji na wafirwaji, so bibie aandae tigo hyo,mhh na alivyokuwa mweusi uko nyuma si ndo itakuwa balaa? Khaa nae huyo mzungu ana moyo, au atakuwa na agenda ya siri sio bure

wazungu wengine wanaoa cheusi dawa kama utalii wa ndoa hahah si unaona vyeusiiiiii km mpingo ndo huwa wengi wanaibuka na ngurue
 
Ahahaha binamu we kiboko duh, wazungu wengi ni wafiraji na wafirwaji, so bibie aandae tigo hyo,mhh na alivyokuwa mweusi uko nyuma si ndo itakuwa balaa? Khaa nae huyo mzungu ana moyo, au atakuwa na agenda ya siri sio bure

Ni shidaaa hao watu
 

Khaaa!! Ila aunty mwenzangu hata sishangai maana cheusi dawa yule kashajisemeaga zamani ye madanga ndo yanamuweka mujini, mmh na uko usa ndo atafanywa mpaka na mbwa maskini mastaa wa bongo uozo mtupu
 
Lucy komba upite Huku JF kuna barua yako kutoka peramiho
 
hahahah ulijuaje ya ajabu ajabu ! uwi hahahahah:smile:

Binamu na wewe mpana, we ushaambiwa wazungu mapenzi yao ya ajabu, ayo mengine mwachie binamu yangu bhana

Kulikoni leo? Wino wa blue umeisha nini??
 
Yani ange zaa japo na huyo mzungu huyo mtoto akapata copy manake Lucy na huyo mzungu anaonekana Kama house maid.. Na tigo ataitoa mpaka azae Kwa cesarian...

Huyo lucy nae kazidi kujisusa kama beki tatu live? Hadi mbuta nanga kampa makavu yake , khaa kazidi ushamba bwana kwa kweli kha mjaluo
 
break ya kwanza angezaa kwanza kujihakikishia makao na ulaji wa maisha yote ndipo mengine yaendelee. ILA mzungu akiwa hataki kuzaa hataki tu. Ukute mume ndio amesema mtoto badae bi dada anajishaua tu kujihami

Huyo mzungu ana agenda ya siri na lucy sio bure, wachawi tupo apa soon tutasikia
 
[QU OTE=warumi;10652441]Huyo lucy nae kazidi kujisusa kama beki tatu live? Hadi mbuta nanga kampa makavu yake , khaa kazidi ushamba bwana kwa kweli kha mjaluo[/QUOTE]
Umeona eeeh, kisa mzungu anataka natural basi ndio hivyo alivyo Yuko Kama kaja na gari ya Leo mchana kutoka kijijini.... A polish awache kujiachiaa na Mara utaasikia shosti anakwenda Denmark yy Yuko hapo Kwa uzuzu... Kazi kushangaa wenzio subiri na yy aulizwe na Shigongo safari lini....
 
break ya kwanza angezaa kwanza kujihakikishia makao na ulaji wa maisha yote ndipo mengine yaendelee. ILA mzungu akiwa hataki kuzaa hataki tu. Ukute mume ndio amesema mtoto badae bi dada anajishaua tu kujihami

Kwa Hilo shosti niko na wewe Mia Kwa 100 manake beki tatu Yule awache kuzaa na mzungu apate japo copy inatosha, na huyo mzungu Hana mkewe lakini? Manake nao hao wazushi...
 
Dinazarde, Mrembo by Nature, mrskhoory ebu oneni hilo shera jamani, hii ndoa au kipaimara? Na hiyo simu ndo vipi tena? Kumbe mbuta nanga alivyomchamba sawa kabisa, shera la miaka 1914 anavaa mwaka 2014, na apo atakwambia kaagiza uingereza , lucy mshamba jamani khaa, na uo weusi sasa yani beki tatu ana afadhali
 

Attachments

  • 1411208721086.jpg
    43.1 KB · Views: 459
Last edited by a moderator:
Sheria mkishafunga ndoa unarudi nchini kwakokwa miezi 3 Kama sikosei then ndio uingie Denmark full. Hata inhefungiwa denish land bado angerudi Tz kwa mda ndio arudi. Sasa hapo ndo Kama bwana au big harusi huna msimamo MTU anaweza achwa. Huwa wazungu wenzake huweza mwambia make gani huyu au Mme gani huyu umeoa??? Kama mzungu hajielewi anatoa talaka faster. Mnigeria lishaachwa na mdada was kizungu ( nchi moja ya kiscandnavia jirani na Denmark) kipindi alichotakiwa kurudibkwao after ndoa ili arudi tena full.
 
Lucy nae kha!! Hata fungate haijaisha anadai uraia mmh, usikute hiyo ndoa ni fake tu ili apate uraia, maana mzungu mwenyew anaonekana tapel, kajisemea mbuta nanga, lucy ni kama housegirl kwenye movie aliyepata bahat ya kuolewa na mzungu dah

Hahahaha!!!!! hapa umenifanya nicheke
 
Lucy umeolewa Mipango yako na mumeo yaache ndani haituhusu kama umepanga kuzaa baada ya kuwa MDenmark !mbona hukuwa hivyo huko nyuma?

Dah mi mwenyewe nmemshangaa yaani toka aolewe na huyo mzungu anaropoka tu sijui anahisi ameshinda bahati nasibu
 
Khaaa!! Ila aunty mwenzangu hata sishangai maana cheusi dawa yule kashajisemeaga zamani ye madanga ndo yanamuweka mujini, mmh na uko usa ndo atafanywa mpaka na mbwa maskini mastaa wa bongo uozo mtupu

Madanga ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…