Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.
kama ni kwa experience so unatakaje?? Unawashwa unatafuta mkunaji siyo/????? bint kqa mbali na mimi sio type yako.

Wazungu ni nouma ,kuna binti mmoja yupo Mwaz,anatembea na mzungu hua anafanyiwa hayoo yaan siku wakija rafiki zake huyo mzungu wote wanamchangiaa,ndio maana wanaotembea na wazungu wanakunywa pombe kalii sana,akikusimulia huyo bint utachokaaaaa anasema yupo kipesa zaidii ana ki rav4 pia anasomesha mdogo wake,anasema hua anachokonelewa halaf wana magovi kama kidonda nyekunduuu,
 
Haujaisha ila nikiwa kwenye kisimu sina option ya wino ....

Yaan leo nimechekaaa kule kwa sinta kuna mdada alitoa koment anasema wanaume wana tabia mbaya unamkaribisha kwako for Dinner, muda unafika dume hilo linakuja linapitiliza kupakua msosi mlima, nyama hizo,maharagee pwaaaa,mkononi hajakuletea kitu, anakula msosi kama anaenda vitani, halaf akimaliza anataka kushushia na k wakati we hapo maji ya kwenye k yashakauka kutokana na matukio

Basi bwana anaesemwa huyo dume hajaja kumjibu bintii kua unanisema kwenye blog yaan nimechekaaaa mieee
 

KUna picha kaiweka uko insta dah, kweli huyo lucy mswazi, ni ngumu sana kuilewa, yani mswazi sana
 
Last edited by a moderator:

Ngoja aache na kazi yake hapo mahakamani aende huko Denmark halafu mwanaume aje ambwage
 

Lol, huyu Lucy kaona wazi hato pendeza ndio akajitia anataka kufanya kitchen party ya ki asili, Hana lolote mbona haku vaa kanga za kusutu siku ya ndoa..
 
Last edited by a moderator:

mbona wadada wengi tu wanajieleza... mie niliyoyasema yamemtokea mdada na elimu yake kubwa alojitia hataki kurudi tz anataka makaratasi. magovi ndo yao. huwa tohara kwao sio lazima
 

Hahaha Dinazaede yule dada sijui ndo Ashu na baby wake mkomba menu waliniacha hoi. Nilicheka hadi basi
 
Last edited by a moderator:
Hii inaitwa maskin akipata si unajua makalio huliaje??????ndo Lucy sasa.yaani kwanza hakutegemea.pili Alitaka Kuwa komoa wajinga wenzie matokeo yake ndo haya sasa.anabaki kuropoka tu vitu asivyovijua Mara sizai mpaka Uraia wakati hata process nzima haikujui.hawa wasalinii wanapenda kujiabisha kweli.
 
Hahaha Dinazaede yule dada sijui ndo Ashu na baby wake mkomba menu waliniacha hoi. Nilicheka hadi basi

Aisee Heaven Sent nilicheka hiyo jana sijui juzii,kwa Sinta kuna vituko jamaniii huyo kaka alivyomjibu basi Ashu nae akamjibu tena halaf akamaliziaa usisahau kupunguza kula kama unaenda vitani samahani lakini aisee nilicheka mnooo,kule ndio kuna umbeaa aisee nishashindwa kujiunga,aisee
 
Last edited by a moderator:

Amejiaibisha mno. Sikutegemea Lucy awe limbukeni hivyo
 
KUna picha kaiweka uko insta dah, kweli huyo lucy mswazi, ni ngumu sana kuilewa, yani mswazi sana

Umenichekeshaa eti ile simu alikua anamechisha hhhhhaaaa na gauniii aisee watu mna manenoo
 
lazima amtetee kwani ni team moja ambayo tigo zilihusika kufanikisha process. Alafu si hapa wazungu ndio wqnaongelewa hivyo hata yeye si salama sana
Yule ndo anaona kana tu alikua kahaba mzoefu Yaani wazungu wanasema retired ----- kuwaharibu tu mabinti wakimwona wanaanza ku tafuta wazungu pori kumbe ndani anatamani kukimbia.anabaki ohh single mothers.na bado
 
watu wanamaneno....nimecheka kwa Nguvu mpaka Mtu kaniuliza nacheka nini nimeshindwa kujibu.Warumi we ni noma anoma a

Aaaah aaaha, ao wasimamizi wake walivyokuwa weusi mmh!!, type za kina dokii, hakyanani siku hiyo umeme ungekatika watu wangetafutana ukumbini, utafikir misukule na vile alivyopanda guta mmh lucy alitisha, make up sasa , nyie kuna watu wana makusudi kwa kweli
 

Warumi punguza mi leo nimecheka mnoo binamu ntakonda,wageni wangezimiaaa maana wangecheka yangeonekana meno tu,
Kwa hiyo binamu alifanya makusudii etiii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…