nilishakuambia long time kwamba wewe ni two in one...full mnafiki, mchonganishi na mzandiki. nilikuweka kiporo long time sana. ukiwa huku unataka uonekane mzuri ukiwa kule uonekane mzuri...sasa nasema hivi JF sio sehemu ya wapika vitumbua kama wewe wasambaza umbea na kuchonganisha watu. Mtaani kwenu umewamaliza umeamua kuhamia JF kuwinda wewe na yule kahaba la city ....hehehehehe hehehehe warumi hanunui maku nenda kule kule chit chat na MMU utakutana na wanunua maku kwa 2000. umesikia eehh Kila siku kujibebisha ila ndio hivyo kuuza maku hakujakulipa kila siku mijasho inakutoka kwenye daladala kama mbeba zege . nilishakwambia mie ni levo zingineeeeeee sio levo zako. tafuta watu wa type yako yani wauzaji wenzako na wachonganishi wenzako. hivi wewe kidemu cha kusalandia unadhani mimi ni kama yule mwana JF uliyemshobokea ukidhania utahongwa gari?? mie ni demu tu kama wewe ila anayejituma kujitafutia sio kama wewe muuza maku mtaani umechuja umehamia JF. Nishakwambia kaa mbali nami manake ntakuvuruga si hapa tu hadi mtaani kwenu.
mmamaaaaaaaaa sema suuuuu. kama ni shule mama usiongee manake hunijui na wacha ibaki tu hunijui. hahahahahaha nachekajeee. kisa niko napiga umbea hapa unadai shulelesss??????????????? wewe ndio shule less manake unavyosambaza uchonganishi wa kipm hufaiiiiiiiii hata kwa kulumangia. binti hufaiiii na hutakati hata kwa jikiiiiiiii