Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mbunge wa Vijana Taifa, Mhe. Lucy Sabu akiambatana na Wajumbe wa Baraza Kuu amefanya kampeni ya nyumba na kwenye vijiwe katika Wilaya ya Meaty kata ya Sakasaka akiwaomba Wananchi kuchagua wagombea wanaotokana na CCM kwani ndio daraja sahihi kuweza kutatua changamoto zao za kila siku.