Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024.
Mbunge wa Vijana Taifa, Mhe. Lucy Sabu akiambatana na Wajumbe wa Baraza Kuu amefanya kampeni ya nyumba na kwenye vijiwe katika Wilaya ya Meaty kata ya Sakasaka akiwaomba Wananchi kuchagua wagombea wanaotokana na CCM kwani ndio daraja sahihi kuweza kutatua changamoto zao za kila siku.
Kwamba hajui taifa limedumaa,kujaa migawanyiko na kukosa muelekeo na dira kwabsababu ya chama chake?
Kwamba sasa ndipo wakati muafaka kwa kujonadi kutatua kero walizozianzisha wenyewe?