PostGE2025 Lucy Shayo (Binti Lissu) amekamatwa na Polisi (kwa mara nyingine)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga.

"Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana na Polisi, muda wa saa tisa na nusu jioni Mkoani Tanga yupo Police central Tanga mjini".

Hii kamatakamata haikubaliki, kuwa mwanachama wa CHADEMA haiwezi kuwa chanzo cha kamata kamata kwa kichaka cha Polisi eti kupata taarifa za siri.

Kukamata watu na kukaa nao bila kuwafikisha Mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake ni kukiuka utawala wa sheria.

Mkurugenzi wa Sheria na haki za Binadamu CHADEMA, Gaston Shundo Garubindi.

Pia Soma: Morogoro: Lucy Shayo afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kusambaza taarifa za Uongo

 
Targeted ni chadema , why they dont take accountability ya madudu yao waliyofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…