J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 14, 2021 #21 imhotep said: Baada ya kufanya kazi yao kwa weledi umeona dawa ni kuwachafua? Kuna ile Ngo ilishawahi kusema kuhusu WanaCCM. Click to expand... Weledi gani?
imhotep said: Baada ya kufanya kazi yao kwa weledi umeona dawa ni kuwachafua? Kuna ile Ngo ilishawahi kusema kuhusu WanaCCM. Click to expand... Weledi gani?
ivunya JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 2,290 Reaction score 2,220 Nov 14, 2021 #22 Wakikagua ilo deni hawatalipa? Hakuna umuhimu wowote kukagua wananchi hawana maji wala umeme wa uhakika . Special Audit ifanyike kwenye umeme kujuwa tatizo nini.
Wakikagua ilo deni hawatalipa? Hakuna umuhimu wowote kukagua wananchi hawana maji wala umeme wa uhakika . Special Audit ifanyike kwenye umeme kujuwa tatizo nini.