Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Nov 9, 2025 #1 Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,240 Reaction score 5,625 Nov 9, 2025 #2 local undergraduate-LUG Hapo inaonekana hajapangiwa mkopo bado hebu bonyeza "CONTINUE" uone itakupeleka wapi
local undergraduate-LUG Hapo inaonekana hajapangiwa mkopo bado hebu bonyeza "CONTINUE" uone itakupeleka wapi
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Nov 9, 2025 Thread starter #3 Ukibonyeza continue inakuleta hapa